Okoa muda, ongeza ujuzi, panua network - pata ama fanya kwa wepesi zaidi.

KAY GEE

Member
Joined
Oct 14, 2009
Posts
24
Reaction score
1
PLUS FINANCE LTD

RESEARCH UNIT

We facilitate preparing Research Proposal and Report writing on your own.
We enhance you acquire the following practical techniques:-

1. Problem formulation
2. Research Methodology
(a) Research Design
(b) Sample Design
(c) Data collection methods both theoretical and on site
3. Data Analysis using various methods including scientific tests, Excell spread sheet and ANOVA
4. Information Evaluation and Interpretation
5. Questionnaire formulation
6. Bibliography arrangement and presentation

We are located at Dar es Salaam -Faya area nearby Jengo la Umoja wa Vijana at IDEAL HOUSE, 1st Floor.

Mob: 0712 066 064 / 0753 125 474/0687 024 164/0717 815 305
E-mail: plusfinancemd@gmail.com
E-mail: plusfinanceltd@plusfinanceltd.zoomshare.com
Web: The Opportunistic & Future Minded People Web Site : Home

KARIBUN SANA
 
Attachments

  • clip_image002.jpg
    clip_image002.jpg
    1.3 KB · Views: 57
Nisamehe kwa kusema kwamba huduma hizi kwa wanafunzi zina uwezekano mkubwa wa kushusha kiwango cha elimu ya juu Tanzania kama ilivyoripotiwa siku za hivi karibuni.
 
ni kweli mkuu, ila kinachofanyika ni kumuwezesha mhusika kufanya kazi hizo kwa ufanisi zaidi... kwani kutokana na utafiti wetu tumegundua kuwa wahusika huwa hawawezeshwi kufanya mambo kikamilifu... mkuu karibu ili ugundue utofauti, si lazima uwe mhtaji directly ila unaweza kujua nini hasa tunakifanya.... vinginevyo nisema asante na karibu sana
 
plus finance ltd
research unit
we facilitate masters and undergraduate students preparing research proposal and report writing on their own.
we enhance them acquire the following practical techniques:-

1. problem formulation
2. research methodology
(a) research design
(b) sample design
(c) data collection methods both theoretical and on site
3. data analysis using various methods including scientific tests, excell spread sheet and anova
4. information evaluation and interpretation
5. questionnaire formulation
6. bibliography arrangement and presentation

we are located at dar es salaam -faya area nearby jengo la umoja wa vijana at ideal house, 1st floor.

mob: 0712 066 064 / 0753 125 474/0687 024 164/0717 815 305
e-mail: plusfinancemd@gmail.com
e-mail: plusfinanceltd@plusfinanceltd.zoomshare.com
web: the opportunistic & future minded people web site : Home
karibun sana

hapo kwenye red ungemalizia kabisa na kuweka umoja wa vijana wa ccm, ili wadau waelewe.

By the way hii biashara yenu ndio inaongeza lundo la vilaza makazini.
 
ndugu yangu, personally hiyo modality yenu siikubali kabisa. huo ni mwanzo wa kuzalisha vilaza. unakuta mtu ameandika vizuri anapata marks nzuri kumbe kazi yenyewe kafanyiwa. kama ni ujasiriamali nawashauri angalieni approaches nyingine sio hiyo ya kuzalisha vilaza
 
PLUS FINANCE LTD
RESEARCH UNIT
We facilitate Masters and Undergraduate Students preparing Research Proposal and Report writing on their own.
We enhance them acquire the following practical techniques:-

1. Problem formulation
2. Research Methodology
(a) Research Design
(b) Sample Design
(c) Data collection methods both theoretical and on site
3. Data Analysis using various methods including scientific tests, Excell spread sheet and ANOVA
4. Information Evaluation and Interpretation
5. Questionnaire formulation
6. Bibliography arrangement and presentation

We are located at Dar es Salaam -Faya area nearby Jengo la Umoja wa Vijana at IDEAL HOUSE, 1st Floor.

Mob: 0712 066 064 / 0753 125 474/0687 024 164/0717 815 305
E-mail: plusfinancemd@gmail.com
E-mail: plusfinanceltd@plusfinanceltd.zoomshare.com
Web: The Opportunistic & Future Minded People Web Site : Home
KARIBUN SANA
:teeth: kaka kama umekosa pesa bora useme tukuchangie
I'm the tutorial wa research, ulichofanya ni kukopy na kupaste ulichofundishwa na huyo teacher wako vitu ambavyo vidogo, sawa na kuongeza tone la maji ziwani!. Huo si ugunduzi ni wizi wa kuwaibia form six!!!!<p/>
Stop it and be creative men!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii siyo biashara nzuri utauwa quality na uwezo wa watu hawa especially wa masters kielimu. Hebu fafanua unamsaidiaje mtu kufanya mambo yoote hayo kama sio wizi tu wa kuchakachua kazi za watu na kuwaandikia? Halafu ni field zooote nyie mnajua? maana research zina differ from one field to another. So mnapokea watu woote wachumi, ma injinia, wahasibu, watu wa HR, watu wa sayansi n.k? Na inanishangaza hapo kwenye data analysis una uhakika scientific data analysis in spread sheet na ANOVA? Ndugu yangu wewe mwenywe kwanza naona unahitaji kufundishwa hujui, spread sheet hii ni basic na si kila mtu lazima ajue na ANOVA (Analysis of Variance) ni very basics.

Kama mmekosa cha kufanya kwenye center yenu omba watu wawashauri cha kufanya. Cha mwisho unaweza kutuwekea CVs au credentials za hao watu wanao fundisha hii kitu?
 
Thanks Tutorial of Research.... ni utafiti uliobaini mapungufu katika mafundisho juu ya hili... Kuna watu wanahangaika wapi wapate ujuzi wa kufanya kazi hizi either kutokana na kutokuwa kwenye mkondo rasmi au mengineyo mengi... mkku kila mtu ana upekee wake na sikwamba unalolifikiria ndilo hasa lililopo, hapana, ila kila mtu kujijua anavyopaswa awe ni hatua kubwa sana kwako na kwa taifa.

napenda niseme ubunifu unaouona wewe unaweza kuwa si ubunifu kwa asiye hitaji... ila unaweza kujaribu ili uwe na nguvu ya kuyasema yote hayo bila aibu... karibu!
 
Hii siyo biashara nzuri utauwa quality na uwezo wa watu hawa especially wa masters kielimu. Hebu fafanua unamsaidiaje mtu kufanya mambo yoote hayo kama sio wizi tu wa kuchakachua kazi za watu na kuwaandikia? Halafu ni field zooote nyie mnajua? maana research zina differ from one field to another. So mnapokea watu woote wachumi, ma injinia, wahasibu, watu wa HR, watu wa sayansi n.k? Na inanishangaza hapo kwenye data analysis una uhakika scientific data analysis in spread sheet na ANOVA? Ndugu yangu wewe mwenywe kwanza naona unahitaji kufundishwa hujui, spread sheet hii ni basic na si kila mtu lazima ajue na ANOVA (Analysis of Variance) ni very basics.

mkuu nashukru kwa kuwa una hoji na kujijibu, na pengine kuhisi umetukosea.. ukweli ni kwamba hakuna huduma inayoanzishwa kimantiki
bila hitaji
- wapo wahitaji ambao hawayajui hayo na hao ndo wahitaji tunaowalenga... hatuna namna ya kumfanya mtu asiye mhitaji kumzuia asisome ila tunapenda pamoja na kujua kwake na kushindwa kuwasaidia wahitaji basi azingatie kauli yake
- hata hivyo kuwa na taarifa sahihi na kutumia taarifa sahihi kuhoji ni jambo la hekima na busara
==== mkuu asante kwa kuliona hitaji, usihofu juuu ya uwezo wetu kutoa huduma, karibu======
 
Hii siyo biashara nzuri utauwa quality na uwezo wa watu hawa especially wa masters kielimu. Hebu fafanua unamsaidiaje mtu kufanya mambo yoote hayo kama sio wizi tu wa kuchakachua kazi za watu na kuwaandikia? Halafu ni field zooote nyie mnajua? maana research zina differ from one field to another. So mnapokea watu woote wachumi, ma injinia, wahasibu, watu wa HR, watu wa sayansi n.k? Na inanishangaza hapo kwenye data analysis una uhakika scientific data analysis in spread sheet na ANOVA? Ndugu yangu wewe mwenywe kwanza naona unahitaji kufundishwa hujui, spread sheet hii ni basic na si kila mtu lazima ajue na ANOVA (Analysis of Variance) ni very basics.

Kama mmekosa cha kufanya kwenye center yenu omba watu wawashauri cha kufanya. Cha mwisho unaweza kutuwekea CVs au credentials za hao watu wanao fundisha hii kitu?

mkuu nashukru kwa kuwa una hoji na kujijibu, na pengine kuhisi umetukosea.. ukweli ni kwamba hakuna huduma inayoanzishwa kimantiki
bila hitaji
- wapo wahitaji ambao hawayajui hayo na hao ndo wahitaji tunaowalenga... hatuna namna ya kumfanya mtu asiye mhitaji kumzuia asisome ila tunapenda pamoja na kujua kwake na kushindwa kuwasaidia wahitaji basi azingatie kauli yake
- hata hivyo kuwa na taarifa sahihi na kutumia taarifa sahihi kuhoji ni jambo la hekima na busara
==== mkuu asante kwa kuliona hitaji, usihofu juuu ya uwezo wetu kutoa huduma, karibu======
 
ndugu yangu, personally hiyo modality yenu siikubali kabisa. huo ni mwanzo wa kuzalisha vilaza. unakuta mtu ameandika vizuri anapata marks nzuri kumbe kazi yenyewe kafanyiwa. kama ni ujasiriamali nawashauri angalieni approaches nyingine sio hiyo ya kuzalisha vilaza

mkuu rejea kichwa na huduma "we facilitate masters and undergraduate students preparing research proposal and report writing on their own" .. tunamuwezesha mhusika kuvua samaki yenye mwenyewe na hatumpi samaki.
=================karibu========================​
 
Back
Top Bottom