Okoa ndoa hii

ww unahofia nywele etc? kwa utaratibu wa viasili/genes, mtoto anaweza kurithi chochote kutoka vizazi ishirini vilivyopita. hata babu yako hajui vizazi kumi vilivyopita,na huyo mume nae halikadhalika! acheni kujistress,kwanza mtoto anaweza kuwa switched at birth,eboo!hosp zetu azembe sana!
 
Ni kawaida yenu kukimbilia kwenye neno malaya nyie huwa mnaitwa nani mnavowapelekeaga wake zenu watoto mliozaa huko nje tena wengine bila haya sio mmoja ...hata mama tofauti.

Hiyo kesi ni ngumu, kwa jinsi anavyopendwa anaweza kuuawa mambo yakiwa ovyo!
 
.......kumbe ndo mchezo wenu huu eeh.............?
 
hapa hakuna cha kuokoa ndoa ila alichopanda mwache avune .. kwanza si mstaarabu maana haiwezekani week ikushinde kuvumilia na hata kama ulishindwa matangazo mengi wanashauli walau watu watumie condom yeye alidhan condom ni kwa ajili ya ukimwi tu ?? ina maana yeye hata kalenda haijui kutumia??? na kama aliona fahari ya mimba ni kubwa basi asubiri aibu
 
Sina uhakika, ila kuna mtu aliniambia: 78% ya first borns (wazaliwa wa kwanza) sio ya mume!!!
 
Angeokoa ndoa alivyokutana na x-wake!!

Its too late..na atakosa yote!!
 
Aanze kumpa kozi ya biology, genetic relation. amwambie bibi wa kizazi cha kumi nyuma alikuwa na element za kiarabu, na hivyo akiona mtoto kazaliwa ana element hizo asishituke aone bibi yao karudi.
Dunia ina mambo sana hii.
 
Huyo mdada bado ana akili za kikoloni, anahisi akizaa na huyo chotara basi maisha yake yatakuwa super. Na sikweli wakati anauza game eti alikuwa hakumbuki ndoa yake, huyo mdada ana mipango yake.
 
Ni kawaida yenu kukimbilia kwenye neno malaya nyie huwa mnaitwa nani mnavowapelekeaga wake zenu watoto mliozaa huko nje tena wengine bila haya sio mmoja ...hata mama tofauti.
Duuuuuuuuh!
 
Amelikoroga akubali kulinywa............aombe Mungu huyo bwana apofuke macho kabla mtoto hajazaliwa...
 
ni mbay azaidi pale mwanaume atakapoenda hospitali na mama yake na dada zake ili wamchukue huyo Mkwe/wifi alafu anatoka Chotara,
sipati picha
 
ni mbay azaidi pale mwanaume atakapoenda hospitali na mama yake na dada zake ili wamchukue huyo Mkwe/wifi alafu anatoka Chotara, sipati picha
We acha tu!
 
Ni kawaida yenu kukimbilia kwenye neno malaya nyie huwa mnaitwa nani mnavowapelekeaga wake zenu watoto mliozaa huko nje tena wengine bila haya sio mmoja ...hata mama tofauti.
Ukimwona mwanaume anakuletea mtoto wa nje dunia ya leo ujue huyo ni zuzu. Hii siyo dunia ya kumwamini mwanamke mpaka kulana naye pekupeku. Hofu ya Maambukizi na kuiepnda familia vinawatawala wnaume wengi wa dunia ya sasa. Huyo aliyekubali kuliwa pekupeku na rafiki anayezurura akitengeneza barabara bila kujali afya yake na ya mpenziwe ametenda kosa ambalo halivumiliki.
 
Ni kawaida yenu kukimbilia kwenye neno malaya nyie huwa mnaitwa nani mnavowapelekeaga wake zenu watoto mliozaa huko nje tena wengine bila haya sio mmoja ...hata mama tofauti.
Ukimwona mwanaume anakuletea mtoto wa nje dunia ya leo ujue huyo ni zuzu. Hii siyo dunia ya kumwamini mwanamke mpaka kulana naye pekupeku. Hofu ya Maambukizi na kuiepnda familia vinawatawala wanaume wengi wa dunia ya sasa. Huyo aliyekubali kuliwa pekupeku na rafiki anayezurura akitengeneza barabara bila kujali afya yake na ya mpenziwe ametenda kosa ambalo halivumiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…