Okoa ndoa hii


Mkuu sikatai kwamba Muhusika amefanya kosa la Jinai; Sikatai kwamba inabidi asisamehewe.., lakini tunaangalia where do we go from here....

Labda Muhusika ana watoto na familia na huyo mume ambae kuondoka kwa mama kutaleta shida, na huyo mtoto ana kosa gani?, kama kweli anaweza kuzaliwa na kulelewa kwa mapenzi ya baba na mama, kwanini isiwe hivyo na apate tabu sababu ya kosa la mama au Just because the Guy is not a biological father

Mkuu Maji yameshamwagika hatuna budi kuzima matundu ili yasimwagike zaidi....
 

Hayajakukuta wewe, na usiombe yakukute.
 
Mwambie achague mume au mtoto wa kizungu. Hiyo tabia madada zetu mmeigeuza kama mchezo wa kawaida, yani umeolewa halafu unaendelea na mechi za mchangani? Ona sasa umevunjika mguu na huna bima!!!!!

kweli kabisa Yericko.
 

Kila mume ana maamuzi yake anayoona yatamfaa kama akikutwa na drama kama hii. Kama ingalikuwa ni mimi ndie mume mhusika basi this marriage is over for I won't be able to live with someone I can't trust. I'll find another woman and start all over.
 
Kila mume ana maamuzi yake anayoona yatamfaa kama akikutwa na drama kama hii. Kama ingalikuwa ni mimi ndie mume mhusika basi this marriage is over for I won't be able to live with someone I can't trust. I'll find another woman and start all over.
Probably na mimi ningefanya hivyo lakini hapa siongelei mume kumsamehe huyo Dada naongelea Mume kutokujua (yaani hapa ni the better of the two Evils)... Mume kujua na kumfukuza mke hence mtoto anakuwa kama Bastard au Mume kutokujua na kuendelea na mapenzi na mkewe kama zamani hence mtoto kupata malezi ya wazazi wawili
 

Hukmu ya mwenye dhambi inaanzia hapa hapa duniani.
Ila hapo kwenye weusi nadhani wote wanawake na wanaume linawahusu.Mara ngapi mijibaba/waume za watu hufanya hivi hivi? Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu kumbe unauma ehh??
 
Kila kitu kina gharama. Hii ni gharama ya kutotumia condom. Asubiri matokeo tu hamna namna.
 
isnt it too late for this???? yeye yaani kakumbushia na mchotara wake hakutumia hata kinga....afadhali mtoto je angepata na ngoma!! watu wengine hawasaidiki bwana!!
 
Mh hapa tunataka kuokoa kitu gani? Nadhani ni vema akaface consequences za actions zake...kutoa mimba ni dhambi.
 
Umalaya mbaya sana..mara nyingi lazima ujute..mimba ni moja afaya je? kama amelamba ngoma yaani mijitu mingne mbna haya mambo utamu ni ule ule tu?!!!
 
Too late. Ajiandae kumlea mtoto wake kama single parent.<br><br>Ingawa ukweli ni kwamba kosa lake ni la kawaida sana katika jamii zetu za vizazi vya kileo. Tatizo lake yeye katunza ngozi huku akijua kabisa kuwa mkamatwa na ngozi.....!<br><br>Najiuliza na sipati jibu...Nadhani akili yake ina mshikeli kidogo!!!
 
Kamnunulia gari, afu yeye amelipokea kwa furaha, kaletewa daktari afu kaamini anapendwa
huyo dada ni shetani
macho makavu aibu hana


ushauri; auze gari aweke pesa kwenye akaunti yake, ili ikitokea maji yamemwagika basi hizo pesa zitamsaidia.
 
Umalaya mbaya sana..mara nyingi lazima ujute..mimba ni moja afaya je? kama amelamba ngoma yaani mijitu mingne mbna haya mambo utamu ni ule ule tu?!!!
Are u sure?
 
Dadako ni malaya wa karne, dadako ni mtovu wa nidhamu, dadako hana hofu na Mungu. Ni vizuri arudi nyumbani akajiifunze uaminifu na utii kwa Mungu wake.

Amebeep aibu na imekuja, si kwake tu na kwa familia pia. Pole zenu.
 
Dada Caro taratibu dada duh!!
 
[h=2][/h]
Is it a real story? It looks unreal... anyyway, huyo dada ajiandae kwa chochote kitakacho tokea.

kwa nini wafikiria ni ya simulizi fasihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…