Okoa ndoa hii

The boss we acha tu, mwenzenu nimelea mimba si yang 4 four months, utrasound ikaja kunifungua macho, naugulia tu hapa, hata kipimo kikubwa sjapima.
pole sana.
 
hahahaha! Mwenzio mambo ya hospital siyajui ila nafikiri amemaanisha vipimo vya DNA.
Hapana nadhani alitaka atupige changa la macho mara nyingi ile utrasound huwa wanaitumia kuangalia mtoto atakuwa ni sex gani yaani kwenye monitor lakini image haionekani vizuri hata kuona hiyo sex ya mtoto inakuwa kwa matatizo.., sasa huyu ndugu yetu sijui aliona nini
 
Aliona Vampire!!!!
 
hivyo! Hebu nisaidie kumwambia anirudishie hiyo pole. Angekuwa karibu ningempiga makonzi, watu wazima na heshma zetu anatutania.
 
Tuokoe nini wakati ishakufa? au marehemu anaweza fufuliwa?
 
Mie namshangaa alikuwa anasubiria aumbuke au, heri....kuliko fedheha hii kubwa namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…