Okoeni jahazi jamani

Okoeni jahazi jamani

Fakyuol

Senior Member
Joined
Nov 26, 2023
Posts
148
Reaction score
325
Habari ya muda huu wakuu

Nimejitokeza hapa jukwaan kuomba ufafanuzi wenu.mGari yangu aina ya Toyota Succeed....inatatizo la kujilesi (kujiongeza mwendo kasi) wakati

Ikiwa inatembea!! Inajiongeza kasi kwa sekunde kadhaa afu baaday inashuka..gia inabadirisha kama kawaida kwa wakati

Kinacho nichanganya zaidi ni kwamba kila fundi nayejaribu kumshirikisha anaongea lakwake!!!

Kuna wengne wanadai ni gia box...imechoka eti ninunue mpya

Wengine wanasema...itakuwa ishu ya wiring

Napitia mawazo yenu jaman

Nko Tarime-Mara
 
Hii ishu kuna fundi alitatua kwenye gari yangu juzi hii tatizo yake ni sensor, yangu ilikuwa wire zake zilikwaruzika sasa zinagusana. Sasa zikigusana kama inaiambia computer module iongeze speed. Tokea niweke hio sensor hili tatizo halipo kabisa. Ni sensor ya gearbox(speed sensor)
 
Back
Top Bottom