Hii ishu kuna fundi alitatua kwenye gari yangu juzi hii tatizo yake ni sensor, yangu ilikuwa wire zake zilikwaruzika sasa zinagusana. Sasa zikigusana kama inaiambia computer module iongeze speed. Tokea niweke hio sensor hili tatizo halipo kabisa. Ni sensor ya gearbox(speed sensor)