Simba inabidi Okra asikae benchi, speed yake inaipa Simba nguvu. Namshauri Mgunda asimsikileze Matola.
Okra anajua anaspeed anapiga, hakuna haja ya kumuweka Kyombo mbele tunachelewa kushinda, baadae toa Sakho weka Kibu Denis, pia Chama aambiwe anapoza sana mashambulizi.
Timu ikishambulia yeye akiwa na mpira anatulia nao kwanza badala auchie kwa haraka hili ni tatizo kubwa kwa Chama.
Pia Simba ikishambulia wajitahidi sana kuziba, jana Prison wangekuwa vizuri kwenye kaunta tulikuwa tunakufa mawili kwa sababu ya space walizoziacha simba kule nyuma.
Simba waongeze speed ya kucheza mpira sometime wanacheza taratibu mnooooo.