Okra yupo wapi?

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Kama kuna mdau anaelewa, hivi huyo Okra mchezaji wa Yanga yuko wapi? Haonekani kwenye benchi na haonekani jukwaani na hakuna maelezo iwapo ni majeruhi, yuko wapi?

Kwahiyo unataka wachezaji wote 30 waingie uwanjani?
soma ujumbe vizuri,mchezaji ama atakuwa anacheza,ama yuko benchi ama kuna taarifa zake kuwa ni majeruhi,kama pote huko hayuko,ndipo nauliza yuko wapi,sasa wewe husomi ujumbe unakurupuka kuandika kama una tumbo la kuhara
 
Wachezaji ndani ni 11, benchi wanakuwa 9. Kwahiyo kuna wachezaji kama wengine lazima wake jukwaani huko bila kujali ni majeruhi au vipi
 
Wewe hamia Yanga ule raha, matusi ni utambulisho wa kolo, kama hivi huwezi kutukana wahi siti yako jangwani huko uliko si kwako
Tatizo rangi ya mbogamboga ni janga la taifa, wakianza kuvaa nyekundu nishtue.πŸ€“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…