Okrah Magic: We learn from mistakes

Hiki ni kitu kizuri sana, wachezaji wanajijengea psychology ya uzembe wowote utakaoifelisha team kupata matokeo mazuri haikubaliki, wakati utopolo wanashangalia draw, mnyama anaangalia alipokosea na next time kuna mtu atapigwa kama ngoma.
 
Simbilisi ndiyo walishangilia draw.
Videos zipo.
 
Hivi Okra ana account ngapi instagram?.
Ipi ni real one
 
Nimetoka kuangalia goli alilofunga, hata lile alimnyima pasi Sakho aliyekuwa kwenye nafasi ya kufunga kwa urahisi zaidi.

Jamaa ni mchezaji mzuri ila inabidi abadilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…