Okrah Magic: We learn from mistakes

Mimi sijaona mahali alipoomba radhi. Au Kiinglish kimenipita kambo.
Nilichoelewa ameamdika kwamba:-
"Tuanze ukurasa mpya au tuanze upya. Tusahau yaliyopita. Pia tunajifunza kutokana na makosa"..... .mwisho wa kutafsiri. Sasa hapo radhi aliyoomba iko wapi? Angekuwa muungwana kweli alitakiwa awe wazi kwenye andiko lake. Aseme kuwa anaomba radhi (I apologise) kwa kushindwa kumpa pasi mwenzake aliyekuwa kwenye nafasi ya kufunga goli. Uombaji huu wa msamaha wa kirejareja hauonyeshi kujutia kosa na huenda akaendelea na tabia yake hiyo ya ubinafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…