Okrah Magic you let us down today

We mwenyewe hata hicho Kiswahili ni chenga tu! Huna haki ya kumkosoa mleta mada
 

Okrah was supposed to pass that ball to his left. His teammate was in a better position to score. He acted selfishly as you attempted to present.

Sometimes we think it's easy for a player to see everything plainly as we see through numerous cameras but let's give the boys a round of applause for their hard work during the game.

Can I also comment on you? Your english needs a lot of adjustment.
 
Unafikiri Okrah ni Mmatumbi kama wewe. Lengo ni ujumbe ufike kwa Okrah na sio wewe mwenye chuki binafsi na Wazungu wakati hata unayotumia ni ya Mzungu.
Kunywa maji ya kutosha, rudi tena usome na ukielewe ulichokiandika hapa.
 
Moja ya watu niliokuwa nawahudu mankusoma michango yao humu jukwaani, kabla ya kufanya maamuzi yabkujiunga, ni wewe.

Kwa uwezo huu, naona imani yangu ilonidanganya.

Siku nyingine uandike tu kiswahili.
Mkuu,kaa chini uandike vizuri
HUELEWEKI...
 
This's how a pundit analyses events in a match.

Keep it up!
 
Leo simlaumu mtu, draw ishatokea japo tulipaswa shinda kabisa
 
rekebisha kiingereza chako you haiendi na was inaenda were
 

Okrah from hero to zero. Yani alitaka abebe utukufu wote kwenye mechi ya Leo na hio ndio shida.
 
Moja ya watu niliokuwa nawahudu na kusoma michango yao humu jukwaani, kabla ya kufanya maamuzi ya kujiunga, ni wewe.

Kwa uwezo huu, naona imani yangu ilonidanganya.

Siku nyingine uandike tu kiswahili.

Na Wewe siku nyingine ujifunze kuandika kiswahili vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…