Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameitangaza siku ya Alhamis ya Oktoba 10, mwaka huu kutafanyika maandamano nchi nzima kwa ajili kudai Katiba Mpya.
Mbowe amesema maandamano hayo hayatakuwa ya kuomba kibali cha polisi, kwani maandamano ni haki ya kila raia.
Kazi imeanza!
Moto! Moto! Motooo!
Mbowe amesema maandamano hayo hayatakuwa ya kuomba kibali cha polisi, kwani maandamano ni haki ya kila raia.
Kazi imeanza!
Moto! Moto! Motooo!