Oktoba 10 ni siku ya maandamano ya nchi nzima kudai Katiba Mpya!

Mdakuzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
4,294
Reaction score
6,872
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameitangaza siku ya Alhamis ya Oktoba 10, mwaka huu kutafanyika maandamano nchi nzima kwa ajili kudai Katiba Mpya.
Mbowe amesema maandamano hayo hayatakuwa ya kuomba kibali cha polisi, kwani maandamano ni haki ya kila raia.
Kazi imeanza!
Moto! Moto! Motooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…