Oktoba 15: Maadhimisho ya Siku ya wanawake wanao ishi kijijini

Oktoba 15: Maadhimisho ya Siku ya wanawake wanao ishi kijijini

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Leo ni Siku ya wanawake wanao ishi kijijini, Siku hii huadhimishwa kila Oktoba 15 ikilenga kutambua Haki za Wanawake wanao ishi kijijini pamoja na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo



Siku ya Kimataifa ya wanawake waishio kijijini inaweka msisitizo kwenye kushughulikia matatizo yanayowakabili Wanawake, na kukuza uwezeshaji wao pamoja na kutimiza Haki zao za Msingi
 
Back
Top Bottom