Okwi 6-Yanga SC 3,afanywe Albadri kumzuia Okwi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Kama picha inavyosoma,li-Okwi limecheza mechi mbili tu goli 6 huku Yanga timu nzima ikiwa imecheza mechi 3 wamepata tugoli tuwili.

Naona jina la Muhenga limepotea tumebaki kumwita sisi tu.Wote kimyaaaaa
 
View attachment 590783
Kama picha inavyosoma,li-Okwi limecheza mechi mbili tu goli 6 huku Yanga timu nzima ikiwa imecheza mechi 3 wamepata tugoli tuwili.

Naona jina la Muhenga limepotea tumebaki kumwita sisi tu.Wote kimyaaaaa
Hii sasa ni AIBU kwa Okwi, mechi mbili goli sita; anayefuata kwa mbali ana goli 2?? Dah!
Alafu ktk hizo goli 6, kuna goli 3 tayari zinashindana zenyewe kwa zenyewe kwa goal of the season, hatari sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…