Okwi amefunga goli nyingi kuliko timu nzima ya Yanga SC

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Mchezaji wa Simba Emanuel Okwi amefunga magoli nane (8) hadi sasa katika mechi sita za ligi alizocheza msimu huu, magoli mengi zaidi ya timu nzima ya Yanga ambayo imekuwa na magoli sita tu

Amefunga magoli hayo (8) dhidi ya Ruvu Shooting (4), Mwadui (2) na Mtibwa Sugar (1), Njombe (1)
 
Haahaaaa.....nimecheka...Kwani nimekumbuka msimu ule kipa was yanga Dida walipo sema amefunga mabao mengi kuliko mshambuliaji no 1 wa Simba ...Kipindi kile Musa,mgosi...hahahaa Hadi raha
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Saaaafi saaaana. Ikibidi washuke daraja kabisa
 
Aanze kufunga na mechi za away...huko ndiko ubingwa unakopatikana.
 

Kumbuka bado tupo round ya kwanza mzunguko wa sana na kuwafariji zaidi yanga kesho inatoa sare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…