kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Simba kwa Okwi ni kama Mbwa kwa chatu. Kutokana na tabia ya chatu ya kumeza wanyama wazimawazima na kuozea tumboni mwake anapomtaka mbwa anatanua tu domo lake na kutoa harufu ya ufundo inayowafutia wanyama wenye uroho wa nyama kama mbwa/Simba SC.
Mbwa huwa anajipeleka mwenyewe mdoni mwa chatu/Okwi kutokana na uroho wake wa kupenda vinono.
Okwi anajulikana sana kwa usumbufu wake na kuzitesa club za Tanzania kila wakati. Anafanya mazoezi ya kufa mtu ili kujiweka fiti/kutoa uvundo na kuzifutia club/mbwa "jinga" za Tanzania zinazopenda vinono.
Anafuta mkwaja wao kisha huyoooo Uganda anaumwa, ana matatizo ya kifamilia, ana hili na lile. Cha ajabu msimu mwingine ukifika Simba ameshasau anaingia mtegoni tena kwa Okwi. Utadhani Okwi amewachukua msukule viongozi wa Simba.