Okwi astaafu Soka akiwa na miaka 32

Sema Mzee Okwi, hiyo 32 ni ya kibiashara tu, huyo hakosi 45
 
Hili suala limenikumbusha jamaa yangu mmoja alikuwa chuo mwaka wa tatu halafu amesajiliwa kwenye timu flani kucheza game za under 16
 
Wonders shall never end😀ngoja namimi nijipunguze umri🤣niende Nida niwambiee wanitengenezee waandike nimezaliwa 2007
 
Kinamba ni mdogo wangu, ila kisura ni braza wangu 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…