J japhete robert New Member Joined Jul 30, 2019 Posts 3 Reaction score 0 Aug 2, 2019 #1 aje wadau napenda kuuliza kama simba wamemsajili tena mshambuliaje wa uganda Emanuel Okwi.
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Aug 2, 2019 #2 Bila òkwi mpira hamuwezi cheza mbumbumbu???
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Aug 3, 2019 #3 Kasajiliwa na timu moja huko Misri eti ana miaka 26. Baada ya miaka miwili atarudi tena Simba akiwa na miaka 24
Kasajiliwa na timu moja huko Misri eti ana miaka 26. Baada ya miaka miwili atarudi tena Simba akiwa na miaka 24
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Aug 3, 2019 #4 Sibonike said: Kasajiliwa na timu moja huko Misri eti ana miaka 26. Baada ya miaka miwili atarudi tena Simba akiwa na miaka 24 Click to expand... Blauzi
Sibonike said: Kasajiliwa na timu moja huko Misri eti ana miaka 26. Baada ya miaka miwili atarudi tena Simba akiwa na miaka 24 Click to expand... Blauzi