Na nyie mbaki na babu zenu Cannavaro yondan n.kVibibi vizee vya Kariakoo mna mbwembwe ...Okwi kacheza misimu 4 ubingwa mara moja...hajawahi kuwa mfungaji bora...ameshakuwa babu
mkuu kumbe na wewe simbaMzee huyoooo
sina maana hiyomkuu kumbe na wewe simba
Mkuu hii avatar yako [emoji16] [emoji16] [emoji16]Mta hangaika sana mwisho wa siku ubingwa unapajua kwao
ha ha haMnabore sana
Sasa zitakuwa 10 - 0Sasa mbona kama zile TANO zinataka kurejea?
Mbumbumbumbu wa matopeni hawana upeo huo.Mta hangaika sana mwisho wa siku ubingwa unapajua kwao
Aiseeee wamatopeni kuweni nakauli nzuri ohoooOkwinyoooooo