Okwi awazidi Top Scorer wa EPL idadi ya mabao

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
1. Aguero S. Manchester City 5
1. Lukaku R. Manchester United 5
3. Gabriel Jesus Manchester City 4

Wafungaji bora wa ligi ya England wakiwa wamecheza mechi 5 ni kama wanavyoonekana. Wakiongozwa na Aguero na Lekaku wakiwa wametupia goli 5 kila mmoja.

Huku mwenzao wa Tanzania VPL Emanuel Okwi akiwa ametupia kambani gali 6 katika mechi mbili tu alizocheza
 
Hv ktk ligi zote umeona ufananishe na EPL pekee au ndio uwezo ulipoishia???
 
Watu wasiojua soka wanapolivamia
 
Mkuu sitaki kuaminu kama na wewe ni miongoni wa Wale jamaa Aden Rage aliowaita jina flani hivi amaizing...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…