Okwi kutua YANGA S.C?

k123gan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
281
Reaction score
381
Kati ya habari zinazo trend Leo Ni kwamba wanajagwani waachana rasmi na Golikipa wao Klause Kindoki ili kuupisha usajili wa mchezaji wa kimataifa (mshambuliaji). Je Okwi kuwa mwana jangwani!?
 
Kati ya habari zinazo trend Leo Ni kwamba wanajagwani waachana rasmi na Golikipa wao Klause Kindoki ili kuupisha usajili wa mchezaji wa kimataifa (mshambuliaji). Je Okwi kuwa mwana jangwani!?
View attachment 1168423
Yanga watamlipa nini πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ngoja tuone kwenye mechi ya mzunguko wa kwanza ili tuweze kufanya tathmini kati ya hayo magarasa, au wale wabrazili wa soka la ufukweni.
 
Safari hii hata rais mwenyewe wa tff ambaye pia ni shabiki lia lia wa mbumbumbu fc aamue kuchezesha hiyo mechi, na dab ashike kibendera, bado mtafungwa tu! Yanga msimu huu hatutaki kabisa mazoea na wadudu waishio hifadhini.
 
Miaka mitatu sasa hamjamfunga Simba. Mkipata droo mnafanya maandamano ya furaha. Mwaka ujao tarehe 4Januari ombeni siku hiyo ibadilishwe kwani adhabu itakuwa kali zaidi.
 
Yanga ipi???..hii iliookota magarasa yaliyotemwa na simba baada ya kushindwa majaribio pale simba
Hawakushindwa majaribio..mikia hawakuwa na hela ya kuvunja mikataba Yao.. lini mikia wamesajili mchezaji mwenye mkataba???hata hapa Bongo
 
Huyo kikongwe wa nn? Yanga sio baraza la wazee
 
Hawakushindwa majaribio..mikia hawakuwa na hela ya kuvunja mikataba Yao.. lini mikia wamesajili mchezaji mwenye mkataba???hata hapa Bongo
kwahiyo yanga wamevunja mikataba yao??yanga hawahawa wanaotumia harambee kukusanya hela za kuwalipa wachezaji mishahara πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ..kupata vichekesho kama hivi andika matikiti fc alafu tuma kwenye namba hii BIGWA MOROGORO
 
Reactions: Tui

Jibu hoja..lini mikia wamevunja mkataba hata hapa Bongo..Yanga walivunja wa Gadiel Azam..Chirwa Platinum..nyie lini?Shonga na Bwalya mmeshindwa..alafu tuko level za Al Ahly ,Mamelod,TP Mazembe ujinga mtupu
 
Sasa kati ya mimi na wewe nani hajibu hoja...soma pale title ya thread inasemaje???thread inasema okwi kutua yanga sc....thread haihusu timu gani huwa inasajili wachezaji kwa kuvunja mikataba..kama unataka kujua timu gani huwa inasajili wachezaji kwa kuvunja mikataba anzisha thread yake tutakuja na data kuchangia thread yako...thread hii inahusu okwi kutua yanga...ndo nimeuliza swali mchezaji gani anaejielewa anaweza toka timu kama simba ya sasa alafu akaenda timu inayoendeshwa kwa harambeee????bakuli fc ambayo wachezaji wake wapo huko bigwa morogoro wanashindia matikiti
 
Sioni mchezaji mwenye kiwango, pale yanga ukilinganisha na Simba, Ukiangalia huyu David Lukumba, ametoka kwenye timu ya Renaissence inayoshika nafasi ya tisa kwenye ligi ya Congo, kuja kukuza kiwango yanga iliyoshika nafasi ya Pili ligi Ya Tanzania. Halafu tutegemee makubwa toka kwa Yanga.
Safari hii hata rais mwenyewe wa tff ambaye pia ni shabiki lia lia wa mbumbumbu fc aamue kuchezesha hiyo mechi, na dab ashike kibendera, bado mtafungwa tu! Yanga msimu huu hatutaki kabisa mazoea na wadudu waishio hifadhini.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…