kidunula1 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 6,305 Reaction score 6,341 May 28, 2020 #41 Prince Kunta said: Okwi huwa akirudi umbumbumbuni na miaka yake inarudi nyuma mpaka miaka 18 Click to expand... Ha ha ha akiondoka huwa ni "aende tu kwanza ni Mzee". Akirudi anakuwa kijana Wa miaka 25 ambayo huwa haibadiliki hadi siku atakayoondoka!
Prince Kunta said: Okwi huwa akirudi umbumbumbuni na miaka yake inarudi nyuma mpaka miaka 18 Click to expand... Ha ha ha akiondoka huwa ni "aende tu kwanza ni Mzee". Akirudi anakuwa kijana Wa miaka 25 ambayo huwa haibadiliki hadi siku atakayoondoka!