Okwi ni mkubwa kuliko Simba SC?

Mume Okwi.... Hahahaaah mbumbumbu washazoea kuendeshwa na akili ndogo... Acha wapambane na hali zao
 
Vipi... Unamwonaje Okwi? Anaendelea kuringa? Nmependa anavyowasumbua simba. Mechi mbili kawafungisha bao sita.
 
Acha alinge yuko vizuri na bado simba tunamhitaji atufanyie mile tunachokipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…