Anakuja kuwapiga tena 5G tulia utamjua tuu mida hiyoYaaani huwa siwaelewi simba huyu jamaa sijui kawaroga au ?,
Wanachompendea ni kuwafungia Yanga tuu,wakiwa na huyo wala hawana haja ya ubingwa maana kwenye mkataba wake kuna kipengele kuwa ahakikishe kuwa anaifunga yanga .Yaaani huwa siwaelewi simba huyu jamaa sijui kawaroga au ?,
Kweli kabisa ndio maana Rage aliwaita mambumbumbu na wakina Aveva wanapitia huko huko.bado sijaona mchezaji bora zaidi kutoka nje wa kumfikia okwi
Huku ubingwa ukienda jangwani.Anakuja kuwapiga tena 5G tulia utamjua tuu mida hiyo
Rage ndio nani?Kweli kabisa ndio maana Rage aliwaita mambumbumbu na wakina Aveva wanapitia huko huko.
Kumbe hiyo simba ndio umeanza kuishabikia mwaka huu?Rage ndio nani?
Hehehehehe basi simba wana mattatizo sana.Wanachompendea ni kuwafungia Yanga tuu,wakiwa na huyo wala hawana haja ya ubingwa maana kwenye mkataba wake kuna kipengele kuwa ahakikishe kuwa anaifunga yanga .
Unamjua shughuli yake?? Najua kwako kama mwana yako YANAGONGA YANARUDI!!Yaaani huwa siwaelewi simba huyu jamaa sijui kawaroga au ?,
Hilo hawana haja nalo wao hata kama kungekuwa na kinyago cha Okwi kinachoweza kucheza mpira wangekisajili tuu.Pamoja na ujio wake.
Swali, je,bado yipo fit km miaka yake ya nyuma,au anakuja kwa ajili ya jina lake tu????
na kila akija ndala huisomaYaaani huwa siwaelewi simba huyu jamaa sijui kawaroga au ?,
anatukimbia? hayaaHehehehehe basi simba wana mattatizo sana.
Mchezaji wanamsajili anawakimbia halafu wanamsajili tena .
Wanawazimu.
Msimbazi kuna tatizo sio yaani mkiifunga yanga basi mnaona kama tayari mabingwa?. Hivi kipaumbele cha simba ni kuuifunga yanga tu.Dah huyu Okwi nuksi.... Muulizeni kocha Felix Minziro kuhusu balaa la huyu mganda... Naona 5G inanyemelea.