Jibu la swali gani?Kumbe hiyo simba ndio umeanza kuishabikia mwaka huu?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Humjui Rage ni nani hapo Matopeni?Jibu la swali gani?
Mchukue ubingwa mkapigwe 5G meendelee kutia aibuTunawasubir katika ligi ata mkichukua wachezaji wote wazuri mnaowajua nyinyi mtaishia kumfunga yanga tu.. Mwisho wa siku tutahesabu point tu mana cc tunajua pakupatia ubingwa
Libolo fc nikiikumbuka machozi yananitokaMchukue ubingwa mkapigwe 5G meendelee kutia aibu