Olamide achaguliwa kugombea tuzo za Mtvema

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Rapper kutoka Nigeria Olamide achaguliwa kuwania tuzo za Mtvema katika kipengele cha Best African Act..!
Baddoh sneh...
Rap God Olamide..!
YBNL CEO...
King Baddoh...
Olamide...
Vote 4 Olamide [HASHTAG]#Mtvema[/HASHTAG]



"Oya shakiti bobo
O fe ra bentley bo bo
O fe ra ferrari bobo
Fly you to paris bo bo
Oya shakiti bobo
O fe ra bentley bo bo
O fe ra ferrari bobo
Fly you to paris bo bo"
In Olamide Voice
 
Kila mtu ampigie anaye mtaka.
*Ningependa kama mtanzania tuzo apate mbongo mwenzetu
 
I hope huyu ni mnigeria aliyepo tanzania anajaribu kumpigia promo mwanzake.

Nina imani hakuna mtanzania na akili.zake anaweza fanya huu uharo kwamba badala ya kumsupport mtz mwenzake ampigie promo mnaija.

Sisi tunasifika kwa umoja wetu. Wee mnaija utukome,, tusianze kukufuatilia.
 
Mkuu unaweza kuta ni Mbongo mwenzetu sema ana tabia za wivu!
 
Wewe MWEHUH nini..!?
Kuwa Mtanzania ndio kiwe kigezo cha kupenda KIBOVU na kukikataa kilicho BORA..!?
Sipendi ujinga mimi..!
Ebo..!!!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wewe MWEHUH nini..!?
Kuwa Mtanzania ndio kiwe kigezo cha kupenda KIBOVU na kukikataa kilicho BORA..!?
Sipendi ujinga mimi..!
Ebo..!!!
 
Mkuu unaweza kuta ni Mbongo mwenzetu sema ana tabia za wivu!
Nimuonee Ali Kiba wivu..!!?
Mtu ambaye hana IMPACT yoyote katika maisha yangu ya kila siku..!
Basi akili zangu zitakua haziko sawasawa...
"Chuki ya nini dhidi ya MWEWE haujataga hata yai moja"
 
Utakua mgeni mitaaa hii kuna kampen ilianzishwa kipindi fulani cha vote for davido nahisi saa iv imebadilo muelekeo
 
Karibu tz naona hukuwepo humu mwaka jana.... Ngoja nkamvotie starboy mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…