Old is Gold: Good music never dies

ABDEL HALI HAFIDH..THE GREATEST
Listen to one greated hits

 
Farid Alatrache...
Also one of the greates eygption Artist..you must listen...
 
WARDA ...Muimbaji mahiri wa Masri...Hakina Music za EYGPT zilikua ni band zenye kujua kupiga vinanda pia sauti music ni hatari....alikua na band ya wati 100..hamna electronics..ni manual equipment na umahiri wa team yake

 
Hivi hakuna whatsapp group la hii makitu ya old school?! Anaejua ani inbox nimpe namba tafadhali...
 
Jaman naomba mwenyimbo ya makasy junior iitwayo baba paroko aniwekee link niidowload. Naitafuta sana
 
Nimetoka kumsikiliza Ali Kiba - akimuita AJE,
Kisha nikamsikiliza Diamond - akimchombeza SALOME wa watu,
Halafu nikamsikiliza Chiriku, Hemed Maneti "Ulaya" na MARIA wake akiwa na Vijana Jazz, dah! nikatambua tofauti ya muziki na usanii.
Natamani nyakati zingerudi nyuma wallah!
 
Siku hizi wanataja taja majina tu ndugu yangu na ukiwaambia jibu lao huu ni waqt wao. Utasikia wanaambizana mwanangu nimetoa bonge la pini ukija sikiza unabaki kukumbuka zile siku nzuri za zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…