Old is Gold: Good music never dies

Ntombi Marhubini-Bovoza Yo. Nilikua mdogo sana still naikumbuka napata image ya maisha ya kipindi kile natamani ningekua karibu na watu walewale but haiwezekani tena gone are the days nimeamini
Umenikumbusha mbali sana mkuu, hili songi sijawahi kulisikia miaka zaidi 20 iliyopita.

Ahsante sana.
 
Don't Stop 'Til You Get Enough & Jackson 5 Medley - The Jacksons

"Don't Stop 'Til You Get Enough (Michael Jackson)" (live) & Medley (ABC, I Want You Back, The Love You Save) - The Jacksons.

(Night of the Proms 2012 - Antwerp, Belgium)

Source: ogmuk
 
Hii imenikumbusha mbal sana...thanx
 
I wish to see this lady one day!! she inspires me!! huwa najaribu ku imagine what type of a lady are you!! huwa nakosa jibu!!

Yes Indeed You do know Good Music!!

Thank you very much - nice of you to say that. Music is life for me. Enzi hizo tukipigiwa muziki unapata ujumbe kamili wa hisia yaani kama mtu anakuimbia. Kkkkkkkk

Check this out. Freddie Jackson kaniacha hoi.

 
Thank you very much - nice of you to say that. Music is life for me. Enzi hizo tukipigiwa muziki unapata ujumbe kamili wa hisia yaani kama mtu anakuimbia. Kkkkkkkk

Check this out. Freddie Jackson kaniacha hoi.


You really know Good stuffs!! duup!! aseeh sipati picha ukiwa home unavoyarudi ma flashback!!
 
Hivi ile Thinking Out Loud kabla ya Ed Sheeran iliimbwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…