Old is Gold: Good music never dies

Wow thanks madam


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Madam naomba audio yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wale mdugu zangu wapenzi wa muziki nawakaribisha ku pakua aplication ya muziki yenye mb 4 tu utapokuwa nayo utaweza kusikiliza mziki online na kudownload pia utaweza kupata notification ya mziki mpya kila utapoingia, tume collect muziki mzuri duniani kote hivo utaweza kutambua mziki mpya na wasanii wapya.

DOWNLOADING LINK

https://play.google.com/store/...tails?id=com.mytubetza.android

-mytube a library of hits-

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Nay wa mitego - mitego mp3 mwenye hii nyimbo tafadhari...

2. Freestyle za nikkimbishi vs godzila
Nikizipata ntashkuru
 
This is for you guys; JF men 🙂 To All The Girls I've Loved Before - Julio Iglesias

 
Wanangu wa rege music mpoo kiukwel namkubali sana lucky dube na ngoma zake nikisikiliza napata burudancana na mafunzo juu ase lucky atabak kuwa juu.
 
kila wakati moyoni mwangu na katika orodha yangu ya kucheza ya muziki ya Youtube ya (programu kwenye apknite)
 
Kumbee woote humu ni watoto? vimiziki vya juzi juzi tuu hivi
 
Huwa nikisikiliza old then niwe nakula bia mbili tatu iwee weekend tulivu,kwenye ki pub au bar ila isiwe with loud sound huwa na enjoe sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…