ntogwisangu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 524
- 164
Habari wandugu!!!natafuta old model rav 4 katika show room za Dar!!Show room ipi naweza pata old model rav 4,ambayo haijachakachuliwa kwa 15M?Ntashukuru kwa msaada wenu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wandugu!!!natafuta old model rav 4 katika show room za Dar!!Show room ipi naweza pata old model rav 4,ambayo haijachakachuliwa kwa 15M?Ntashukuru kwa msaada wenu!!
15m ni nyingi sana mkuu.
Halafu ni ya milango mingapi?
Pia usiwaambie Budget utalizwa Bure.
Halafu Madalali sasahivi wata Ku PM,maana wameona mshiko mnene.
Pia jaribu kumtafuta Fundi mzuri umlipe angalau hata elf 50 kwa siku hiyo ili mzunguuke nae,la sivyo utanunua majanga kwa ubahili.
Mie hiyo ndio huwa nafanya,nikitaka Gari lazima nimtafute fundi na nimlipe siku hiyo ili nipate kitu dhamana na fundi wangu hajaniangusha.Bongo hiyo unaweza kukuta R4 ina Engine ya Starlet shauri yako.
kichwa cha mkoa hicho umiza kaka!...lol!
Wasiliana Naomi Nina rav 4 old model 95 mwaka.imetembea km 130000 no Yang 0755262179 no no mpya kabisa
Haya mjomba Lakin umenipata Vila shaka
Mambo ya smart phone unaweza jikuta unamtukana mkweo
Habari wandugu!!!natafuta old model rav 4 katika show room za Dar!!Show room ipi naweza pata old model rav 4,ambayo haijachakachuliwa kwa 15M?Ntashukuru kwa msaada wenu!!