...OPP how can i explain it...... oh my !!!! hii song ilitisha mno kuna mshkaji alikuwa anatembea na tape ya OPP eti mtama kwa watoto!!
lets talk about sex - saltn' peppa
thinking about you - london beat
dont be cruel - bobby brown
mnakumbuka ma slows ya jude boucher? dah ile miziki ilikuwa ya ukweli!!! nakumbuka nikiwa Iringa 1990 bro wangu alileta gazeti flani hivi la wanamziki wa kimarekani linaitwa RIGHT ON lilikuwa na picha na story za wanamuziki kibao wakati ule akina mc hammer, NWA, public enemy, ll cool j, al b sure, chaka khan na wengine kibao halafu kichwani wamenyoa punkizz za kufa mtuu.