PRECIOUSDOE
Senior Member
- Feb 3, 2009
- 114
- 12
Wana JF inawezekana mapenzi kati ya mwanamke aliyemzidi umri mwanaume kwa miak mitano kufaulu?Why or Why Not?
Wana JF inawezekana mapenzi kati ya mwanamke aliyemzidi umri mwanaume kwa miak mitano kufaulu?Why or Why Not?
Unatakiwa kuyafahamu yafuatayo kabla ya kuamua hivyo;
Lakini mapenzi hayana fomula....! "Always True Love Has No Reason, But it is Associated With Unlimited and Unconditional Forgiveness". Hivyo, ni ninyi, na kuta zenu nne tu...!
- Muda wa kufurahia mapenzi ni tofauti: Mwanamke hufurahia hadi miaka 40's, wahile a man enjoys sex through his lifetime...! Sasa kama umemzidi miaka 5, then desire yako ikaishia umri wa miaka 45, (kwa mfano), utakuwa umemwacha mpweke kwa muda gani?
- Sex Experience: Mimi kama mwanaume, ningefurahia sana kuwa na wajibu wa kumfundisha mwenzangu mapenzi...! Sasa kama mmekutana ukiwa na uzoefu wa kila aina; mfano: wanaume 20+, miaka 10+, styles kadhaa, n.k, huku yeye (mwanaume) akiwa na uzoefu chini ya hapo, je position yake kwako utakuwa ni upi?
- Mtazamo wa jamii: Katika jamii zetu za kiafrika, particularly Tanzania, tumezoea kuwaona wanaooana mwanaume akiwa mkubwa kidogo kuliko mwanamke...! Je, wewe tutakutazama vipi?
- Psychological views: Mara nyingi, mwanamke huwapenda manaume wakubwa, wakati mwanaume huwapenda wanawake wadogo...! Kwako mbona ni kinyume?
Wacha niwe honest : Sidhani am in love because we r so different frm one another.Kama usiku na mchana,lakini anasisimua hisia nyingi kwangu styms I feel motherly love wakati mwingine ninajiskia na yeye lakini tena ninaona hii ni child abuse.Infact napanga kumu avoid sana even tho ni mtu tunaishi town moja.I feel conflicted sababu sija wahi kuwa na mpenzi wa hata rika langu usually atleast 3yrs older.Sijui nifanyeje - kusema kweli amenimix
Wacha niwe honest : Sidhani am in love because we r so different frm one another.Kama usiku na mchana,lakini anasisimua hisia nyingi kwangu styms I feel motherly love wakati mwingine ninajiskia na yeye lakini tena ninaona hii ni child abuse.Infact napanga kumu avoid sana even tho ni mtu tunaishi town moja.I feel conflicted sababu sija wahi kuwa na mpenzi wa hata rika langu usually atleast 3yrs older.Sijui nifanyeje - kusema kweli amenimix
Why getting mixed....!!!!??? and trying to avoid him while you feel him in other way...? If you are well experienced to have relations with men and then getting off, that should not be a problem to you...! To human being, this sexual theory do applies much:
But, because I am not well conscious about your stage out of those above, I lack a strong recommendation(s), but you may also ask yourself that "how many men did mix you till now?". Did/Will you accept all? Otherwise, Love has no a fixed formula to apply, whats matter is the presence of a "Double Coincidence of Love", and the seriousness of you all. The matter of childhood, depends much on the age of that man...! If he is at least 18year, then forget about it, because he is qualified to enter into a contract independently, otherwise your say may apply...!
- A man mostly do proud of having sex with a number of women, and then getting off...! And he proud to have this number persistently increasing, but later this become a normal issue to him and then less interested...!
- For women, this is more less different; they normally feel so pain and sometimes even disappointed to their lives when the first man to her gets off...! She normally keeps pains increasing as this number increases, but it will come a point where she become normal and treats her self as such. Some may get completely disappointed, and at this stage, they no longer care when a man come, having sex, and then leaving away...! She will not have time to judge or making selection on a man who is approaching her, whether in terms of seriousness, quality, community's interpretations, and the like...! they won't think of the man's availability in the tomorrow, rather, they do think tonight or today only...! they are no longer after love, but they are after either money or enjoyment or both at once...!
Hii advice yako ndiyo imenipoteza zaidi:confused2:
Kama ni suala la mapenzi hakuna shida. Nimeshawahi kumwona rafiki yangu ambaye alikuwa katika mahusiano na m'mke aliyemizidi miaka 9...Older women take good care of themselves, are more confident, are better lovers, and have life experiences that make them more interesting overall.
Kama unamzidi 'mumeo' miaka 7, na ndoa yenu ina miaka 8 hiyo ni gepu la kiama 15...chukulia kwamba mtanzania wa kawaida huruhusiwa kufunga ndoa baada ya miaka 18+, kwahiyo 15 + 18 = 33, embu tuongeze muda kama umesoma angalau shahada ya kwanza kwa miaka mi 3, kutafuta kazi mkwaka 1, kudate na mzee miaka mi 2...hapo jumla ni 38.....hahahahahahaha....piga ua FL umri wako si chini ya miaka 35 (kama ulisemalo ni kweli)....sikupatii picha!:A S 8:Mitano mbona michache sana ..mie namzidi wangu saba:confused2:
Na imani kwa mtizamo na muonekanao wa ndoa yetu tunapendana sana........
ndoa yetu ina miaka 8 najitahidi kufanya mazoezi ya viungo kula vizuri kulala vizuri sitaki kujizeesha mpaka sasa naoneka kijana na yeye kuonekana mzee ,..
Hakuna mbaya Binti
Mitano mbona michache sana ..mie namzidi wangu saba:confused2:
Na imani kwa mtizamo na muonekanao wa ndoa yetu tunapendana sana........
ndoa yetu ina miaka 8 najitahidi kufanya mazoezi ya viungo kula vizuri kulala vizuri sitaki kujizeesha mpaka sasa naoneka kijana na yeye kuonekana mzee ,..
Hakuna mbaya Binti
Kama unamzidi 'mumeo' miaka 7, na ndoa yenu ina miaka 8 hiyo ni gepu la kiama 15...chukulia kwamba mtanzania wa kawaida huruhusiwa kufunga ndoa baada ya miaka 18+, kwahiyo 15 + 18 = 33, embu tuongeze muda kama umesoma angalau shahada ya kwanza kwa miaka mi 3, kutafuta kazi mkwaka 1, kudate na mzee miaka mi 2...hapo jumla ni 38.....hahahahahahaha....piga ua FL umri wako si chini ya miaka 35 (kama ulisemalo ni kweli)....sikupatii picha!:A S 8:
Age only shouldnt be the issue...but if you dont have feelings for him then be honest with him...tell him the truth...Wacha niwe honest : Sidhani am in love because we r so different frm one another.Kama usiku na mchana,lakini anasisimua hisia nyingi kwangu styms I feel motherly love wakati mwingine ninajiskia na yeye lakini tena ninaona hii ni child abuse.Infact napanga kumu avoid sana even tho ni mtu tunaishi town moja.I feel conflicted sababu sija wahi kuwa na mpenzi wa hata rika langu usually atleast 3yrs older.Sijui nifanyeje - kusema kweli amenimix
Age only shouldnt be the issue...but if you dont have feelings for him then be honest with him...tell him the truth...
hisia za kimwili ndiyo naona zinanivutia kwake lakini tabia zake hazinipendezi - anapenda ulevi na sigara.Haonekani akiwa na direction ila ale raha tuu.I dont luk up to him or respect him the way a woman shud respect her man.Lakini anyo boyish charm and Im a firstborn anzivutia my mothering instincts. Hata ninaona haya kumkiss -wakati mmoja amenijaribu lakini nikakata because niliona yeye ni mtoto kwangu,lakini sometimes anabehave mature sana na anani seduce mpaka ninajiskia na yeye lakini sijawacha yapite hapo because naona sitaki kuji setup for stress.