Acha utoto kwenye mambo serioushata wakija tz lazima wafikie chato maana mlima utapelekwa huko.
Amekosea sana. Kwa nini hajataja Chato? Au hajui Chato ndiyo habari ya mjini na ipo kilele kwa sasa?Kocha wa timu ya Manchester united ameutaja mlima kilimanjaro wakati akiongea na wachezaji wake kuhusu timu yake kukaa kileleni.
Nadhani hii itaweza kufungua kuongezeka kwa fursa za utalii kwa kuzingatia kuwa timu ya Manchester United ndiyo timu inayoaminika kuwa na mashabiki wengi duniani hivyo itafanya kila shabiki kwa wakati wake kuufatilia huo mlima kilimanjaro na kufahamu habari zake mpaka kufananisha na kukaa kileleni kwa timu ya Manchester United. Solskjaer mentions Mt. Kilimanjaro to challenge Manchester United players
Me mbn ni kid kabisaAcha utoto kwenye mambo serious
Acheni utoto basiAmekosea sana. Kwa nini hajataja Chato? Au hajui Chato ndiyo habari ya mjini na ipo kilele kwa sasa?
Utulie basi humu kwa wakubwaMe mbn ni kid kabisa
Acheni kuendekeza mambo ya kitotoTREND kwa sasa ni chato kilimanjaro ndo wap tena jamani?
Kwa hio.. nchi kama USA. China. Canada, Australia. Denmark, na majiji kama New York. Los Angeles. Hollywood nk.. yanatajwa kila siku. Sio mtu mmoja kataja kilimanjaro basi tunachanganyikiwa sana. Tujivunie vijana tz wakipata ajira na maisha yakiwa poa.Kocha wa timu ya Manchester united ameutaja mlima kilimanjaro wakati akiongea na wachezaji wake kuhusu timu yake kukaa kileleni.
Nadhani hii itaweza kufungua kuongezeka kwa fursa za utalii kwa kuzingatia kuwa timu ya Manchester United ndiyo timu inayoaminika kuwa na mashabiki wengi duniani hivyo itafanya kila shabiki kwa wakati wake kuufatilia huo mlima kilimanjaro na kufahamu habari zake mpaka kufananisha na kukaa kileleni kwa timu ya Manchester United. Solskjaer mentions Mt. Kilimanjaro to challenge Manchester United players
Nimekushauri sijakupangiaBANDO langu.,.,
SIMU yangu.,,
alafu nipangie cha kucoment?
WHO ARE BY THE WAY?
Daily News Ni gazeti la kipropaganda linaongozwa toka Chato, wekeni link ya video tumuone wenyeweKocha wa timu ya Manchester united ameutaja mlima kilimanjaro wakati akiongea na wachezaji wake kuhusu timu yake kukaa kileleni.