Ole gunner ni kocha mwenye IQ ndogo zaidi kuwahi kufundisha EPL

Man u ya sasa haiwezi kumfunga spurs, labda kwa wakat mwingine

Man u mnaenda kula kipigo kwa spurs

Man city anakuja kuwanyoosha vzur, nadhan mpaka hapo ole atakuwa amefikisha asilimia 90 za kufukuzwa
[emoji3][emoji3][emoji3]
Mjukuu wa Sheikh Yahaya, tayari mechi umeshaangalia na matokeo umetupa.
Mpira hauchezwi mdomoni,
Ahsante
 
Hivi hilo kundi halina watu wenye uzoefu na mpira ?
View attachment 1281208
Kwa structure hii Makocha watabaki kubadilishwa na si kubadilika.
Inabidi kocha awe kichwa ngumu na mkali kuliko hiyo bodi, kitu ambacho ni kigumu sana kama kuweka bahari kwenye ndoo.

Kwangu mimi binafsi Martial ni kidonda pekee ambacho kimenipelekea kuona kuwa hata makocha kwenye hii timu hawana usemaji wa mwisho kwenye maamuzi yao, nahisi kwenye huu utawala mzima kuna shida.
 
Kumpa timu former sub player ndip mistake yenu kubwa
 
Huwezi ukaniaminisha uchezaji wa Martial ule utawala mzima hauuoni.......

Martial tangu kipindi cha Mourinho alikuwa ni wa hivyohivyo na ile hali inawafanya maforward wengine wasithubutu kumpa mpira mechi ya juzi hata dakika rashford hakuthubutu kumpa mpira Martial,

Nachohisi yule jamaa kama hana kizizi basi anasali sana au kunaujanja ujanja huyu dogo anaufanya sasa kutokana na ustaarabu wa kizungu wanashindwa kuwa wakali.

Martial pia ni forward pekee anayevaa gloves kati ya wachezaji woote so kwa saiikolojia ya haraka ni mchezaji mwenye mambo ya Kike kike na utashangaa akikosa goli anathubutu kuwatuhumu midfielders huku anasubiri mipira ya Counter attack.

Na kwa tabia ya martial kuna tabia anaitengeneza automatically kwa timu nzima kucheza kisharobaro nakukosa umoja kitu ambacho kitaimaliza timu bila watu kuona shida ipo wapi. Maurinho ni hayo mambo ya Kitoto yalimshinda vijana hawakumwelewa.
 
Katika wachangiaji wa jukwaa la michezo wewe unaweza kuwa mmoja kati ya wenye IQ na EQ ndogo sana. Kwa sababu kama Ole hana ufahamu katika michezo vipi kuhusu kucha hasa ambaye ni Luis Van Gaal,vipi kuhusu mbinu za Mourinho mbona zilifeli?je hawa waliopita wanatofauti gani na Ole?
Tatizo la man united unalijua ila kwa sababu ya IQ ndogo unakuwa depressed hata huelewi.Tatizo la man united ni katika structure.Mfumo wa uongozi umejikita kwenye soko la nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja hasa mauzo ya jezi na vifaa vingine.Lakin mbona timu ya wanawake inafanya vizuri sana kuliko ya wanaume?
 
Kwani Martial kafanya nini ?
 
Jikite kwenye lugha moja usomeke vizuri
 
Kama umeshindwa kumuelewa Ole huna lolote ulijualo katika soka, Wewe ni mmoja kati ya mashabiki maandazi wa ki bongobongo. Kuangalia kwako mpira miaka 19 hakujakusaidia chochote.
Liverpool FC fan here,
I can tell you Ole is a joke like Roy Hodgson when he was a Liverpool manager or England National team Manager.
Don't get fooled by his fancy statements "We will play the Manchester United way".
 
Thread Viewed by Pochettino

Ila hili povu ni first class
 
Abaki huyu huyu tu tena ikibidi astaafie hapo.Sijaona tija ya kubadilisha-badilisha makocha tangu babu aachie ngazi.Aachwe ajenge timu ya wachezaji wenye huo moyo wa man utd ili timu ikisimama iwe imesimama jumla jumla.
 
Huyu kocha namkubali sana ana DNA za RED DEVILs abaki ikiwezekana mpaka afie hapohapo..
 
You are a living IDIOT,,,,[emoji34][emoji34]
Kama umeshindwa kumuelewa Ole huna lolote ulijualo katika soka, Wewe ni mmoja kati ya mashabiki maandazi wa ki bongobongo. Kuangalia kwako mpira miaka 19 hakujakusaidia chochote.
 
Wenzio tumeshahamia kwa ze spesho wani wewe bado unahangaika na ritimu ribovu mura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…