Ole gunner ni kocha mwenye IQ ndogo zaidi kuwahi kufundisha EPL

Tulia leo spurs aje akuingizie kunako utamu
 
Mkuu unaksea mimi sioni kosa la Ole hata kidogo na katika makocha wote waliokuja UTD baada ya Ferg Ole gunna ndio ameonesha anaweza phylosophy ya man U.

Kwa nini nasema hivyo? Wewe angalia wachezaji aliowasajili yeye ni wakiwango cha juu na kwa bei ndgo tu ukiacha Maguire, kiwango cha James sio cha ile Euro mill 15 mkuu hii inaonesha baada ya madirisha matatu ya usajili atakuwa amewaleta world class player kwa bei ndogo na hapo ndipo utaiona Utd ya Ferg.

Anawapa nafasi vijana wa academy wenye kuelewa phylosopy ya timu na tumeona vijana wakipewa nafas kam Greenwoof, Levit,, Gomes nk.

Sasa turudi kwa wachezaji waliopo. Hivi kweli unaweza mlaumu kocha kwa Martial na Rashiford kukosa nafasi za wazi karbu kila mechi. Katika kipindi hiki cha Ole ndio man u wametengeneza nafasi nyingi za magoli kama umekuwa ukiangali mecho za man u. Tatizo limekuwa kwa hawa vijana wetu wa mbele hawako serious yaani ni kama huwa hawajui timu inataka nini hasa Martial na Rashford huwa ni wavivu wavivu sana hasa wanapocheza na timu ndogo.

Ni mara ngapi Danieli James anamimina cross unakuta mtu kama Martial ma Rashford hawapo kwenye possion hata kuwagasigasi tu mabeki wanasubiri mpira uwafikie. Ni mara ngapi Rasford, Martial na Pogba wamekosa penalt au nafasi za wazi ambazo zingetupa point tatu. Ukitaka kujua hili rejea michezo yote ambaye tumedroo au kufungwa uone lawama zitaruda kwa kocha au wachezaji.

Ole kwa sasa yupo kwemye wakati mgumu hana backup ya Rashford, Martial ndio maana wanamchezea. Ila naamini ili hawa vijana waache utoto wao hasa Martial na Rashford inabidi January Ole avute strika wengine wawili ili wawe wanacompete huku mchezaji wangu kinda ninayemkubali Mason Greenwood naye apewe game za kutosha ili awe backup ya Martial.

Utakubaliana na mimi pamoja na mam u jana kushinda na Rasford kufunga magoli mawili dhido ya Tot lakini bado alikosa nafasi ya wazi kitu ambacho Tot wangesawazisha kunabaadhi mngemtupia lawama kocha.

Uzuri wa Ole hafungwi game kubwa mara nyingi anashinda hii ni dalili nzuri kuwa akipata wachezaji wenye kariba ya Man Utd ambaye yeye ameonekana ni bingwa wa kuwasajili basi nampa misimu minne kuanzia sasa utd itakuwa tishio tena.
 
Man u ya sasa haiwezi kumfunga spurs, labda kwa wakat mwingine

Man u mnaenda kula kipigo kwa spurs

Man city anakuja kuwanyoosha vzur, nadhan mpaka hapo ole atakuwa amefikisha asilimia 90 za kufukuzwa
[emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie ndio wale mnaoangalia mpira kwa maneno. Kitu ambacho nmekuwa nkiwaambia watu wengi kwenye vibanda umiza hasa wale wenzangu wenye kubet ni kuwa usije thubutu kuuwa man u ya Ole kwenye game kubwa huwa hawafungwi kirahisi na timu ikijitahidi sana kwa man u itaishia droo, rejea mechi zote kubwa tangu Solskjaer awe kocha.

Ni kwa nini huwa hafungwi kirahisi? Sababu huwa ziko nyingi ila niliyiugundua mimi ukiachia mechi ndogo ambazo hawa forwad wetu huwa wanastruggle kufungu, Mechi kubwa zote hawa vijana hasa Rashford hawezi toka bila goli huwa anakuwa hatari sana wewe waulize Liver Arsenal na chelsea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…