Ole Milya lipa pango Via Via tunapata taabu sana

Ole Milya lipa pango Via Via tunapata taabu sana

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Wadau wa Via Via tumeanza kupata taabu baada ya club yetu pendwa kufungwa.

Kila siku ya Alhamisi tulikuwa hatukosi disco na kuvizia vimwana wa kizungu katika hali ya kushangaza majuzi Club imetiwa kofuli kwasababu ya Mhe. Ole Millya kushindwa kulipa kodi ya pango.

Tafadhali Ole Millya walipe Makumbusho kodi ya pango tuendelee kujimwaga
 
Kwanini jukwaa la Siasa?

Hao watasha wanaelewa lakini?
 
Weka picha ya hiyo klabu ya ndani na nje tuione pengine na sisi wengine akina mwenzangu na mm tunaweza kuvutika kufika hapo.
 
Mkuu, hiyo ni opportunity ya uwekezaji, mtu mwingine ajitoe na kufungua biashara.
 
Back
Top Bottom