Wadau wa Via Via tumeanza kupata taabu baada ya club yetu pendwa kufungwa.
Kila siku ya Alhamisi tulikuwa hatukosi disco na kuvizia vimwana wa kizungu katika hali ya kushangaza majuzi Club imetiwa kofuli kwasababu ya Mhe. Ole Millya kushindwa kulipa kodi ya pango.
Tafadhali Ole Millya walipe Makumbusho kodi ya pango tuendelee kujimwaga