Ole Naiko astaafu rasmi

lono

Senior Member
Joined
Apr 28, 2009
Posts
120
Reaction score
17
Mkurugenzi mkuu wa TIC amestaafu rasmi kazi hiyo kuanzia leo
 
Subiri kituko kipya ukionee maana mmmm wait and see
 
Acha naye akatafune alichojiwekezea maana ni Best sana na yule mzee wa magamba wa Monduli Lowassa.
 
Mzee wa Monduli alipokimbia soo la Richard wa Monduli Ole Naiko alilalama sana eti wamasai wanaonewa kwasababu ya kabila lao.
 
Hiyo ni nafasi ya mshikaji Mataka
 
Naye huyu alikuwa fisadi kimtindo fulani hasa kwenye issue za Richmond naye alitakiwa awajibike akakimbilia kulalama ukabila wamasai wanatoswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…