Huyu bwana anaona anataka kuleta kitu kingine kiitwacho Ukabila ili kukwepa kutoka kwenye kashfa hii ni pia kumtetea bwana EL. Hawezi kutupeleka kwenye ukabila kirahisi hivyo .....TIC haiwezi kukwepa lawama hapa kama Richmond imejulikana kuwa ni kampuni hewa!!
ole naiko has a point,kama mwakyembe alitaka ku probe usajili mzima wa richmond lazima angetakiwa kuwahoji all licencing authority ambao ni HALMASHAURI YA JIJI[AFISA BIASHARA]-LESENI YA BIASHARA,MAMLAKA YA MAPATO-TAX CLEARANCE CERTIFICATE,BRELA,WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA - LESENI,BANK ILIYOMPA BARUA,WAKILI ALIYEMUAPISHA ets....tofauti na hapo tuache ushabiki..tu,TIC wao hutoa approval ya investment baada ya kuridhika na document za hao wengine...kama wao wamepitisha na mwekezaji ana meet requirement hawawezi kumnyima...
...sioni ubaya kwa aliyoyasema ole naiko..ameamua kusema ukweli ,wakitaka na yeye wamfukuze kazi!!! period!!!
Watanzania wote tukatae maneno ya kujisafisha kutoka kwa viongozi wetu wabovu on ukabila line, it is a pure nonesense na very shallow in thinking, kama anayosema ni kweli basi alipopewa uongozi angelia mbona tunakuwa Monduli tupu kwenye uongozi wa juu hivyo angeukataa, sasa saaa hizi za wabunge kumkoma nyani ndio analilia ukabila ambao ndio in the first place ndio uliomfikisha hapo kwenye mlo, ili asigombee ubunge wa mheshimiwa au anafikiri hatujui hilo?
Hawa viongozi wengine kabla ya kujua ubovu wao, sometimes tujiulize walifikiaje huko kwenye mlo, then hatutakuwa na maswali zaidi, yeye Mwanyika, na Hosea watoke tu sio kutuletea maneno ya Biblia saa hizi, maan tunakumbuka jinsi wazungu walivyotupa hizo Biblia na kuchukua ardhi yetu, hatutakubali tena maneno ya Biblia.
Kwenye hili niko nawe mia kwa mia kwa mia kwa mia kabisa .Udini na ukabila ndiyo sasa unaonekana kwenye reallity au vipi ? Bado tu watasema mengi maana na urafiki mbali ya ukabila pia ni mwingi .Mtaimba sana akina Ole .
Habari Leo
MKURUGENZI wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Emanuel Ole Naiko, ameituhumu Kamati Teule ya Bunge kwa kumhusisha na kashfa ya Richmond huku akisema anaamini ilifanya hivyo kwa nia ya kumkomoa kwa vile yeye ni mzaliwa wa Monduli.