Ole Sabaya leo anahojiwa na Mawakili wa upande wa Jamhuri

Ole Sabaya leo anahojiwa na Mawakili wa upande wa Jamhuri

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole Sabaya ataendelea na utetezi wake ambapo itakuwa ni zamu ya Mawakili wa upande wa Mashtaka kuanza kumuhoji.

Kesi imefika patamu.

Updates;
 
patamu ni prosecution wanamfanyia Sabaya Examination, sabaya unamwaga mboga yote leo , anawataja wengine waliokuwa wanamtuma.
Leo mna hamu ya kumsikia mtesi wenu

aisee wabongo ni very unstable mentally
 
patamu ni prosecution wanamfanyia Sabaya Examination, sabaya unamwaga mboga yote leo , anawataja wengine waliokuwa wanamtuma.
Sio examination, ni cross examination, examination wanafanya mawakili wa sabaya, examination across examinations reexamination
 
Wasisahau kumuuliza iwapo kama kichwani zimo zote? Maana kuna viashiria sabaya ni non compos mentis
 
Back
Top Bottom