Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama mkoani Arusha imemfutia mashitaka mbunge wa Simanjiro baada ya kuoana hana kesi ya kujibu.
Ole sendeka alishitakiwa na mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM Bwana James Millya kwa kosa la kushambulia na kujeruhi.
PESA SI JAWABU LA KILA KITU.Mahakama mkoani Arusha imemfutia mashitaka mbunge wa Simanjiro baada ya kuoana hana kesi ya kujibu.
Ole sendeka alishitakiwa na mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM Bwana James Millya kwa kosa la kushambulia na kujeruhi.
What did one expect from such baseless prosecutions!
Yule mshitaki alikuwa kondoo wa sadaka..hajui anachokifanya!