nimefurahi sana, nimefarijika, maisha ni mapambano, kushinda kwa Milya kutakua mwanzo wa mpambano mpya wa Vita dhidi ya wanaojiona watawala wasio rasmi, hapa namzungumzia Rafikie Millya ambae ni Lowassa.Hongera sana Ole Sendeka na pia sasa ukweli umejulikana kwa kiasi fulani na pia vyombo vyetu vya mahakama lazima viwe huru ili kuleta usawa katika jamii
Nampongeza kwa hilo lakini ikumbukwe kuwa kushinda kesi haimanishi kwamba mtu ni innocent.
Naaona Sendeka kama hataki kuizungumzia tena ile kesi sijui kuna nini hapo..........isije kuwa wameelewana nje mahakama.....ndio maana haoni ushindi wake kama ushujaa...........
Na bado, wanamtandao wataadhirika sana kwa hila zao za kijinga! Bado hili la finna dhidi ya Spika6, sasa hivi wanamtumia hadi mchovu Mrema!
Na bado, wanamtandao wataadhirika sana kwa hila zao za kijinga! Bado hili la finna dhidi ya Spika6, sasa hivi wanamtumia hadi mchovu Mrema!
Ile kesi ilikuwa imekaa kisiasa zaidi!
No wonder!
Kesi ilikuwa wazi ni ya fitina na uzushi isingefika mbali
Kesi za kuzushiana hizi-EL behind all this
Hivi nyie mnajua kuwa mimi siwaelewi, wafanyiane fitina wakati wote ni wana CCM?What did one expect from such baseless prosecutions!
Yule mshitaki alikuwa kondoo wa sadaka..hajui anachokifanya!
Niweke sawa Boss kwa hili la Finna kwa Spika, kwanza Finna huyu huyu au? halafu lipi kubwa, maana tunajua mengi ya kwake...😡Na bado, wanamtandao wataadhirika sana kwa hila zao za kijinga! Bado hili la finna dhidi ya Spika6,
Ile kesi ilikuwa imekaa kisiasa zaidi!
No wonder!
Kesi ilikuwa wazi ni ya fitina na uzushi isingefika mbali
Kesi za kuzushiana hizi-EL behind all this
Hivi nyie mnajua kuwa mimi siwaelewi, wafanyiane fitina wakati wote ni wana CCM?What did one expect from such baseless prosecutions!
Yule mshitaki alikuwa kondoo wa sadaka..hajui anachokifanya!
Ohh wadanganyika. Nijibuni kipya ni kipi hapo? Eeh?