F Fataki Senior Member Joined Aug 28, 2008 Posts 151 Reaction score 14 Mar 11, 2010 #61 Pambano gani la kumalizwa jimboni? Hili lilishakwisha! Milya kapigwa mweleka, mwisho wa safari! Ndo gharama ya umamluki hiyo!
Pambano gani la kumalizwa jimboni? Hili lilishakwisha! Milya kapigwa mweleka, mwisho wa safari! Ndo gharama ya umamluki hiyo!
R Rwabugiri JF-Expert Member Joined Jul 10, 2007 Posts 2,774 Reaction score 215 Mar 11, 2010 #62 Fataki said: Pambano gani la kumalizwa jimboni? Hili lilishakwisha! Milya kapigwa mweleka, mwisho wa safari! Ndo gharama ya umamluki hiyo! Click to expand... Ukizingatia peremende alizo pewa kaisha lamba zote hadi utamu kasahau! Hapa ni bonge la kwisheni period!
Fataki said: Pambano gani la kumalizwa jimboni? Hili lilishakwisha! Milya kapigwa mweleka, mwisho wa safari! Ndo gharama ya umamluki hiyo! Click to expand... Ukizingatia peremende alizo pewa kaisha lamba zote hadi utamu kasahau! Hapa ni bonge la kwisheni period!