Ole Sendeka aongezewa shitaka

Ole Sendeka aongezewa shitaka

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
6,997
Reaction score
1,172
[FONT=bookman old style, new york, times, serif]Mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka ameongezewa shitaka la kumtishia kumpiga kwa bastola Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Arusha, James Ole Millya.[/FONT]
[FONT=bookman old style, new york, times, serif][/FONT]Shitaka hili liliongezwa leo wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa. Waendesha mashitaka wanadai kuwa utaita [FONT=bookman old style, new york, times, serif] mashahidi 13, akiwepo Mkuu wa mkoa wa Singida, Vicent Parseko Kone ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Simanjiro na viongozi wengine kadhaa wa CCM. [/FONT]
[FONT=bookman old style, new york, times, serif]Mwendesha mashitaka wa serikali, Michael Luena alilitaja shitaka la kwanza linalomkabili Sendeka kuwa ni shambulio ambalo anatuhumiwa kumpiga ngumi na kibao Millya Januari 9 mwaka huu wilayani Monduli na kumsababishia majereha.[/FONT]
[FONT=bookman old style, new york, times, serif][/FONT] Shitaka la pili ni [FONT=bookman old style, new york, times, serif]kumtishia kumpiga risasi Millya kwa kutumia bastola yake yenye namba BA5522.[/FONT]
 
Frank speaking.
Hasira za kimasai zinamtokea puani mshikaji. ila hapo haishi kulalama kuwa MAFISADI wamemtungia kesi.
Miujiza bongo ni kila kitu.
Mende anaweza kuwa njiwa bongo hii
 
[FONT=bookman old style, new york, times, serif][/FONT]
Shitaka hili liliongezwa leo wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa. Waendesha mashitaka wanadai kuwa utaita [FONT=bookman old style, new york, times, serif] mashahidi 13, akiwepo Mkuu wa mkoa wa Singida, Vicent Parseko Kone ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Simanjiro na viongozi wengine kadhaa wa CCM. [/FONT]
[FONT=bookman old style, new york, times, serif][/FONT][FONT=bookman old style, new york, times, serif].[/FONT]

I wish Sendeka mafanikio katika kesi hii ingawa alikosea kutumia nguvu badala ya busara.... he felt into a trap

Moyo wangu unaenda mbio kuona Kone bado anaingia humo kwenye siasa za maji taka
 
Frank speaking.
Hasira za kimasai zinamtokea puani mshikaji. ila hapo haishi kulalama kuwa MAFISADI wamemtungia kesi.
Miujiza bongo ni kila kitu.
Mende anaweza kuwa njiwa bongo hii
ina maana mafisadi wao ndo kila uovuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu tzzz...

bongo bwana...wajinga ndo waliwaooo..

mengi hakwenda mara hii kutoa kampani kwa ole sendeka??
 
Mie ndo maana nasema kuwa hawa mafisadi wajanja kweli wanatumia kila mbinu ionekane kwamba ni kitu cha kawaida. Haiwezekani mtu akafanya maujinga yake kisha akasingizia mafisadi.
Nakuunga mkono aisee
 
Back
Top Bottom