Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
WanaSimanjiro tunatamani Tetesi ziwe kweli 😃😃ila Uchaguzi 👇👇Wakati vikao vya ndani vya wilaya na mikoa vya CCM vinavyochuja wagombea vikiisha mkoani Arusha, taarifa zinadai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo wamefyekwa.
Vikao hivyo vilivyoendeshwa kwa usiri mkubwa vimetaja watia wengine waliofyekwa ni pamoja na Noah Lembris (Arumeru Magharibi), John Pallangyo (Arumeru Mashariki), Pauline Gekul (Babati) na Flatey Massey (Mbulu Vijijini).
Taarifa zinadai kuwa waliopitishwa katika tatu bora ni pamoja aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari, ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Arumeru Magharibi kupitia CHADEMA.
Kwa upande wa Simanjiro, majina yanayotajwa ni panoja na la Jmaes Ole Millya ambaye ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) na wengine wawili.
Taarifa kamili za majina kupitishwa zitatolewa baada ya Kamati Kuu ya CCM kuketi.
Majina yatarudi tuWakati vikao vya ndani vya wilaya na mikoa vya CCM vinavyochuja wagombea vikiisha mkoani Arusha, taarifa zinadai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo wamefyekwa.
Vikao hivyo vilivyoendeshwa kwa usiri mkubwa vimetaja watia wengine waliofyekwa ni pamoja na Noah Lembris (Arumeru Magharibi), John Pallangyo (Arumeru Mashariki), Pauline Gekul (Babati) na Flatey Massey (Mbulu Vijijini).
Taarifa zinadai kuwa waliopitishwa katika tatu bora ni pamoja aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari, ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Arumeru Magharibi kupitia CHADEMA.
Kwa upande wa Simanjiro, majina yanayotajwa ni panoja na la Jmaes Ole Millya ambaye ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) na wengine wawili.
Taarifa kamili za majina kupitishwa zitatolewa baada ya Kamati Kuu ya CCM kuketi.
Sabaya baba yake ndo Mkiti wa CCM mkoa.Sabaya je kaka?
Sawa kakaSabaya baba yake ndo Mkiti wa CCM mkoa.
So tegemea lolote.
Ss tunasubiria majibu hapaDavid kapita? Vipi huko uchagani kikeke
Sabaya nasikia amejipanga sana.Sabaya je kaka?
Ila nahisi ni mgonjwa ,dah maisha maana yake ni nini lakini ?Sabaya nasikia amejipanga sana.
Unaambiwa jamaa amekuwa mlokole hadi amepitiliza.
Yaani hata akinunulia mtu pombe hatalala ataumwa usiku kucha.
Na ana watu wengi katika maeneo ya Arusha magharibi wanaomuunga mkono.
Nimesimuliwa na rafiki yake kinakindaki
Mjuvi tunakuomba utupe majibu tafadhariJee Makonda kapita bila kupingwa?
Ok utatupa feedbackSs tunasubiria majibu hapa
AiseeeeeZa ndaaani kabisa kule Bumbuli Janywaree hana chake