chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Jamani naomba kujua huyu Mtu anaitwa ole Sendeka imekuaje anatajwa sana ktk mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. Na kutajwa kwake ni juu ya kauli na matendo yake tata ktk kuamua mambo kadhaa juu ya bunge la katiba. Ana agenda gani na huu mchakato, kwanini anatumia muda kukitetea tusichokijua, nani anamtuma, kwa maslahi ya nani, na je anaogopa nini mambo yakienda kinyume na matazamio yake na washirika wake tusio wajua, kwanini yeye tu ndiye anahangaika zaidi ya wenzake?
Karibu mwenye jibu ajongee , epuka matumizi ya Lugha chafu na hasa kwa wale vijana wasio na ajira LB7
Karibu mwenye jibu ajongee , epuka matumizi ya Lugha chafu na hasa kwa wale vijana wasio na ajira LB7