Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
"Kauli yake hiyo tunaichunguza imezua taharuki"Mwanasiasa mkongwe na mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka amesema kuwa chama cha mapinduzi hakiungi mkono mwenendo wa matukio ya utekaji yanayoripotiwa katika maeneo mbalimbali nchini.
Sendeka ameyasema hayo wakati akizunguma katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mkoani Arusha ambapo ameeleza kuwa matukio hayo yamekuwa yakirudisha nyuma ustawi wa amani na uhuru nchini.
"Kwanza utekaji ni jambo la hovyo, lifanywe na mtu binafsi, kundi watu, lifanywe na serikali ama lifanywe na mtu yoyote yule ni jambo la hovyo lisilozingatia misingi ya Utu. Hatukubaliani na utekaji wa aina yoyote, rai yangu kila mwnanchi aliye na habari kwamba kuna raia ametekwa na anamuhisi aliyemteka ni fulani ni vizuri watu wawe na ujasiri shida yetu wakati mwengine tunakuwa waoga, ni lazima ukubali kutoa gharama ya kutoa ushirikiano kwa vyombo ili huyo muhalifu aweze kukamatwa" amesisitiza Sendeka.
Inawezekana wanajiteka 🤔🤔🤔Bongo country CCM inalamikia watekaji Serikali yake inalalamikia watekaji vyama vya upinzani vilalamikia watekaji wananchi wanalalamikia watekaji.daah! Sasa nani mtekaji?
Ndivyo walivyokuwa wakisema akina Polepole wakati wa awamu ya tano.lakini ukimsikiliza Sativa ambae aliponea chupuchupu kuuwawa na kuja kuhadithia ni wazi kuwa kuna utekaji wa wanasiasa na wanaharakati.Inawezekana wanajiteka 🤔🤔🤔
Mungu ambariki sana Ole Sendeka,kwa kuwa mkweli daima!。Mimi huwa najisikia guilty nikijihisi ni hii interview yangu na Ole Sendeka,imemponzaMwanasiasa mkongwe na mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka amesema kuwa chama cha mapinduzi hakiungi mkono mwenendo wa matukio ya utekaji yanayoripotiwa katika maeneo mbalimbali nchini.
Sendeka ameyasema hayo wakati akizunguma katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mkoani Arusha ambapo ameeleza kuwa matukio hayo yamekuwa yakirudisha nyuma ustawi wa amani na uhuru nchini.
"Kwanza utekaji ni jambo la hovyo, lifanywe na mtu binafsi, kundi watu, lifanywe na serikali ama lifanywe na mtu yoyote yule ni jambo la hovyo lisilozingatia misingi ya Utu. Hatukubaliani na utekaji wa aina yoyote, rai yangu kila mwnanchi aliye na habari kwamba kuna raia ametekwa na anamuhisi aliyemteka ni fulani ni vizuri watu wawe na ujasiri shida yetu wakati mwengine tunakuwa waoga, ni lazima ukubali kutoa gharama ya kutoa ushirikiano kwa vyombo ili huyo muhalifu aweze kukamatwa" amesisitiza Sendeka.
Kwani Rostam Aziz ajulikani ...sera za kuteka na kuua muasisi ni Rostam azizi na mdogo wake na genge lake, ndiyo kazi panda hixo sera kwa sa100Mwanasiasa mkongwe na mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka amesema kuwa chama cha mapinduzi hakiungi mkono mwenendo wa matukio ya utekaji yanayoripotiwa katika maeneo mbalimbali nchini.