Ole wako Wewe Mkuu wa hiyo ' Hospitali ' hapo Mkoani Mwanza uruhusu ' Maiti ' itolewe ili izikwe Kirumba kusudi ' Mwarabu ' afe Jumapili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tunawajua ndani nje na kama kuna ' Uchawi ' wenu ambao huwa kila mkiwa Mkoani Mwanza katika Mechi yoyote ngumu mnautumia na huwa unawasaidia kwa 99.9% ni wa kwenda ' Kuiba ' Maiti Usiku Hospitalini kisha mnaifukia Uwanjani na baada ya Mechi mnaifukua.

Si mnajifanya mnajua Mpira na nyie ni Mabingwa wa Kihistoria hapa nchini? Sasa kwanini kuanzia jana mnawasumbua tu Madaktari wa Hospitali za hapo Mkoani Mwanza huku mkijenga Urafiki wa Kulazimisha na Wahudumu wa Vyumba vya Maiti hapo Mkoani ili ' Muwahonge ' na ' Muibe ' Maiti mkaifanyie ' Uchawi / Ndumba ' ili ' Mwarabu ' afungwe Jumapili hapo Kirumba?

Na Daktari yoyote au Hospitali yoyote itakayowapa hawa Watu ' Maiti ' ili waifanyie ' Ushirikina ' wao naenda ' Kuwaumbua ' hapa hapa na katika hili sitanii kwani nina Hasira sana nanyi hasa baada ya Roho Mbaya mliyotuonyesha wakati tukicheza na UD Songo ' Kwa Mchina ' Temeke. Na ' Waarabu ' baadhi wapo Mjini na Sisi ndiyo tumewapokea na tunawapa Maelekezo yote. Na hata wakiingia Vyumbani Kirumba Vyumba vitapimwa ili kama kuna ' Sumu ' ambayo ' Kitaalam ' tunaita 4-4-2 imewekwa / mmeiweka basi ' muumbuke ' na ' mfutwe ' kabisa na CAF.

Ubaya Ubayani tu na mlianza Sisi sasa tunamaliza

Ole wenu!
 
Kama nyie mlivyozika maiti ya mtoto pale kwa mchina
 
Mkuu hebu uwe unaleta basi na ushahidi maana unatoaga tuhuma nyingi pasipo na uthibitisho wowote.
 
Mkuu hebu uwe unaleta basi na ushahidi maana unatoaga tuhuma nyingi pasipo na uthibitisho wowote.

Acha Kunipotezea muda tafadhali ila najua kuwa Watu wa Mipira tena hii ya Kiafrika hapa watakuwa wameshanielewa vyema tu.
 
Mda mwingine jamiiforum naona kama nikijiwe cha mambo ya ajabu sana sasa uzi kama huu eti unaachwa.
 
Naona homa ya mchezo dhidi ya Azam fc hasa baada ya kumleta mwalimu wa kiwango cha juu kabisa cha ufundishaji soka, imeanza kuwatafuna mashabiki wa Mikia fc.

Wameanza kuweweseka.
 
Mda mwingine jamiiforum naona kama nikijiwe cha mambo ya ajabu sana sasa uzi kama huu eti unaachwa.

Nimekuita? Mada za maana na ambazo unazipenda hujaziona hadi ukafikia hatua ya ' Kuwashwawashwa ' na Kuufungua huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…