Hii huruma na nia njema kwa CDM imetoka wapi? Shetani kazini!Ole wenu CHADEMA!!
Mtihani huu uliopo CHADEMA ndio utakaoamua msitakabali wa Chama hicho, ama Chama kiendelee kuwepo kikiwa na nguvu ileile ama kuzikwa rasmi ikiwa hekima haitatumika kuamua mgogoro huo
Wengi wenu mnamuona Mdee,Bulaya, Matiku na wenzao walioapa bungeni juzi, Lakini aminini kwamba, kuna kundi na nguvu kubwa iliyo nyuma Yao na ndani Yao ni viongozi wandamizi chamani
Maamuzi yenye Hekima pekee ndiyo yatakayoifanya CHADEMA iendelee kuwepo!!
Swali ni Je!
Ni nani atakuwa mwamuzi katika Hilo ikiwa baadhi ya viongozi ngazi za juu kabisa nao wamo kwenye skendo hii??
Jua na mvua Bora nini??
Mkuu siasa zetu mdomoni si nzuri, Ila ki uhalisia, mioyo inasema, upinzani ni wa mhimu kuliko maneno yanayotutoka mkuuH
Hii huruma na nia njema kwa CDM imetoka wapi? Shetani kazini!
Mgogoro gani wakati tumeshamalizana nao?Waanzishe tu vita ya maneno halafu sisi tunakausha,hatuna habari nao!Kesho ndio mgogoro mkuu rasimi unaanza na mgogoro huo ndio unaenda mpaka kwenye hitimisho la Chama
Kuanzia Leo nitaanza kuheshimu mawazo yako, kumbe unajua kila kitu kinachohusu siasa, na umuhimu wa siasa za ushindani.Mkuu siasa zetu mdomoni si nzuri, Ila ki uhalisia, mioyo inasema, upinzani ni wa mhimu kuliko maneno yanayotutoka mkuu
Upinzani ndio engine ya kusukuma maendeleo mkuu, usiangalie uwingi wa maneno yanayotutoka wanasiasa
Mkuu siasa zetu mdomoni si nzuri, Ila ki uhalisia, mioyo inasema, upinzani ni wa mhimu kuliko maneno yanayotutoka mkuu
Upinzani ndio engine ya kusukuma maendeleo mkuu, usiangalie uwingi wa maneno yanayotutoka wana
Ni kweli.Ila tatizo si maneno ya wanasiasa tu bali nchi kwa ujumla wetu. RAIA TUMEWEKEZA ZAIDI KWA WANASIASA,AMBAO WENGI WAO MWL.NYERERE ALIWAITA "wenye tabia za malaya".Mkuu siasa zetu mdomoni si nzuri, Ila ki uhalisia, mioyo inasema, upinzani ni wa mhimu kuliko maneno yanayotutoka mkuu
Upinzani ndio engine ya kusukuma maendeleo mkuu, usiangalie uwingi wa maneno yanayotutoka wanasiasa